Pages

Subscribe:

Thursday, January 5, 2017

JCB AWACHANA MASHABIKI FEKI WA HIPHOP WALIOMPONDA BAADA YA KUTEMBELEA WCB



Rapper JCB amewashangaa baadhi ya mashabiki wa hip hop waliomkejeli baada ya kuzitembelea ofisi za WCB hivi karibuni. Akiwa kwenye ofisi hizo, JCB alipiga picha na Ray Vann na Babutale. “Dah wapenda #HipHop ni watu wa ajabu sana eti kupiga picha na baadhi ya...
wasanii kutembelea studio flani kwao ni kosa,” ameandika kwenye akaunti yake ya Facebook.

“Wakati huo huo hao wanaojiita #Wanaharakati wa #HipHop hana mchango wowote wa kumsaidia huyo msanii wao wanao mwita mwana Hip hop kama kuja kwenye show kununua cd kununua tshet.”

“Wana subiri tudate au tuvute unga ndo watuongelee tena kwa mabaya….wacheni hizo nyie hizi ni picha tu mnachanganyikiwa na kutukana sasa hilo lingoma likishuka itakuaje.”

0 comments:

Post a Comment