Pages

Subscribe:

Wednesday, September 27, 2017

ASLAY KUJA NA WASIKUDANGANYE RMX YA NANDY


Licha ya kutoa mfululizo wa Hit songs kibao zenye ujazo kwa mashabiki zake,Aliyekuwa member wa kundi la Yamoto Band Dogo Aslay Ukimuuliza sasa hivi nyimbo ambazo anatamani ingekuwa ya kwake basi ungepata jibu moja tu.

Msanii huyo ameweka wazi kuwa nyimbo ambayo anaikuabali na angetamani ingekuwa yake ni nyimbo ya mwanadada nandy ambae anafanya vizuri kwasasa na nyimbo yake ya wasikudanganye,sasa msanii huyo amesema...
angetamani kufanya remix au kufanya cover ya nyimbo hiyo na yupo mbioni kuongea na Nandy katika hilo

0 comments:

Post a Comment