Pages

Subscribe:

Sunday, September 24, 2017

PAMOJA NA KUKABILIWA NA KESI YA PICHA ZA TUPAC KENDALL ANG'ARA HUKO MILLAN

Chic: Kendall Jenner's latest stop is Milan, as she this time showed her modelling prowess while parading the runway for Italian fashion and shoe giant Tod's on Friday morning while looking sensational in various ensembles
Mwanadada kendall Jenner kutoka katika familia maarufu nchini Marekani ameonekana kufanya vizuri katika show ya fashion ambayo imefanyika huko Milan,Mrembo huyo ambae ameonekana kuwa konga nyoyo za mashabiki kutokana na baadhi ya mavazi yake aliyovaa na kupita nayo kwenye stage.

Akiwa anafanya hayo Mrembo huyo bado yuko katika hali ngumu baada ya kuwa na kesi ya matumizi ya picha ya Tupac katika T-shirt ambayo alionekana kuivaa wakati wa...
kumbukumbu ya kifo cha Tupac shakur

Hivi ndivyo alivyo tupia huko millan
 Leading the pack: As one of the world's most esteemed models, it was clear to see why she was at the front of the show 

The day before: Although she was nowhere to be seen at the Tod's show, Kendall's mum Kris was throwing her support behind her at the Fendi show the previous day 
Glowing: Her make-up was dewy and natural, with a taupe coloured eye-shadow paired with a dab of nude lipstick while her skin was looking incredibly fresh 
Walk this way: On Friday, she was proving just how she is one of the modelling world's modern success stories as she paraded along with a trademark stern gaze while matching her fellow models with her hair mussed to add a fresh out of bed look 
Chic: Kendall's white capri pants made for a fresh look in the Spring/Summer 2018 collection while she was also rocking the label's trademark leather loafers

0 comments:

Post a Comment