Pages

Subscribe:

Thursday, September 21, 2017

SWALA LA DIAMOND KUMSALITI ZARI LAFANANISHA NA HILI LA STAA WA MAREKANI

Baada ya Staa wa Bongo kuweka wazi kwamba amezaa na Mwanamitindo Hamisa Mobetto gumzo limeendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ndani na nje ya nchi huku mastaa mbalimbali wakimpost Diamond na kumsifia kwa kitendo alichokifanya.

Suala hili limefananishwa na kile alichofanya mchekeshaji wa Marekani Kevin Hart ambaye pia hivi karibuni...
amekiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine na kumsaliti mkewe.

0 comments:

Post a Comment