Pages

Subscribe:

Friday, September 22, 2017

BILL NASS: NANDY NAMPA ZAIDI YA 60% ZA VIGEZO VYA MKE NINAYE MTAKA



Msanii wa muziki Bongo, Bill Nass amesema kwa sasa hana mpango wa kuoa. Hitmaker huyo wa ngoma ‘Mazoea’ ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Sina Jambo’ amefunguka kuwa hata ukifika muda ana vigezo vyake anavyozingatia.

“Sijakaa nikafikiria kwa sababu mimi nina vigezo vyangu ambavyo nataka, najua namtaka mwanamke wa aina gani. kwanza...
suala la kuoa kwangu linapita mbali, siyo kwamba nafikiria sana,” Bill Nass

Alipoulizwa kuhusu Nandy ambaye amekuwa ikisemekana wapo wote katika mahusiano anampa asilimia ngapi katika vigezo vyake, alijibu; Nandy nampa zaidi ya asilimia 60.

0 comments:

Post a Comment