Pages

Subscribe:

Friday, September 22, 2017

VAZI HILI LA AINAYAKE LA KARRUCHE LACHANGANYA WATU WA LOS ANGELES


Ex wa Chirs Brown namzungumzia Karruche Tran, amewaacha raia wa Los Angeles katika hali idiyo ya kawaida kutokana vazi lake ambalo alivaa usiku wa jana huko Los Angels ambapo vazi hilo lilionyesha maungo ya ndani ya mwili wake.

Karrueche Tran ni Model na Tv Personality amewaacha raia midomo wazi usiku wa jana huko Los Angeles alipoenda kuhudhuria chakula katika mgahawa mmoja usiku huo, Kitu ambacho...
kilawadatisha raia wengi ni Vazi lake ambalo alikuwa amevaa ni suruali flani hivi ya kitambaa ambayo ilikuwa inaonyesha mwili wote jinsi alivyo jaliwa na aliwaacha watu midomo wazi huku wasipate majibu.
Walk this way: The starlet stood out in her traffic-stopping ensemble 
On your marks: The star continued to give onlookers a glimpse of her fabulous body as she climbed into her car
Hata hivyo vazi hilo limefanya kuwanogesha watu wengi ambao waliokuwa wamehudhuria sehemu hiyo.Cheeky: The star's sheer trousers clung to her behind 
Having a blast: No doubt with her career on the rise, a night out on the town was very much in order for Karrueche
No missing her: Tran grabbed an iced coffee as she flashed the flesh in a slashed crop top and camouflage print sweats in West Hollywood on Tuesday 

0 comments:

Post a Comment