Pages

Subscribe:

Friday, September 22, 2017

TABIA HII YA BEN POL YAMLIZA EBITOKE

Mchekeshaji maarufu bongo Ebitoke alizwa na kitendo cha anayedaiwa kuwa mpenzi wake Ben Pol kutopokea simu wala kujibu meseji zake, na kuomba msaada kwa watu kumuuliza msanii huyo kwa nini anafanya hivyo, licha ya kuwa na mipango mingi ya baadae. 

Akiongea Ebitoke amesema kitendo hicho kinamuweka njia panda, hivyo anashindwa kujua kama...
anampenda kweli au alikuwa anachezea moyo wake.

0 comments:

Post a Comment