Pages

Subscribe:

Sunday, September 24, 2017

PRODUCER SUGE NIGHT ATOA SABABU ZA KUAMINI KUWA TUPAC BADO YUPO HAI


Tupac Shakur and Suge Knight
Wiki moja sasa imepita tangu dunia ya HipHop ikumbuke siku ya kufa kwa mwanamuziki na nguli wa HipHop Tupac Shakur ambaye alifariki kwa kupigwa risasi wakati akiwa anatoka club huko nchini Marekani.

Msanii huyo mwenye historia kubwa katika HipHop ambaye baadhi ya wasanii wamekuwa wakiiga maisha yake jinsi alivyo kuwa anaishi lakini zaidi ya hapo wapo...
ambao wengine wamejaribu kuiga mpaka jinsi anavyo vaa,lakini yote hiyo ni kuonyesha kuwa wanamkubali Tupac ambaye mpaka hivi sasa hakijulikani chanzo ni nini kilichofanya msanii buyo apigwe risasi.Image result for tupac and suge knight cuba
Kikubwa kimetoka hapo jana baada ya producer SUGE KNIGHT ambae ni mmiliki wa studio za Death Row kusema kuwa bado ana amini kuwa Tupac bado yupo hai, msanii huyo ameungana na baadhi ya watu wengi ambao ni mashabiki wa Tupac wakiamini kuwa Tupac yupo hai.

Sasa kupitia mtandao wa TMZ Suge Knight amesema “wakati anaondoka hospitali mahala ambako Tupac alikuwa amelazwa walikuwa wakicheka na kutaniana (suge knight) Suge aliongeza kwa kusema kuwa sijawahi kuona mtu akiwa kwenye hali nzuri ghafla yakatokea kama yalitokeaImage result for tupac and suge knight cuba
Suge Knight alipoulizwa kama unaamini kuwa Tupac yupo haia akasema kuwa  “I’m gonna tell you that with ‘Pac, you never know.”Tupac alifariki tarehe 13 mwezi wa 9 mwaka 1996 baada ya kupigwa risasi huko Las Vegas

0 comments:

Post a Comment