Pages

Subscribe:

Friday, September 22, 2017

GUCCI MANE AKIRI KUBADILISHWA TABIA NA JELA


Siku zote wanasemaga kwamba Maisha ya Jela huwa ni magumu na ndio kipindi ambacho mtu hujutia vingi sana, Sasa Rapper Gucci Mane amelisibitisha hilo alipokuwa anafanya mahojiano yake na The Daily Show wakati alipoitwa kuelezea kitabu chake kinachoitwa “THE AUTOBIOGRAPHY OF GUCCI MANE”.

Akiwa anazungumza na mtangazaji wa kipindi hikowa hicho, Trevoh Noah, Gucci alielezea kwamba “Maisha yake wakati amehukumiwa kifungo cha kwenda jela yalikuwa ni...
maisha ambayo mabaya sana, na wakati akiwa ndani anatekeleza hukumu hiyo ndio kipindi ambacho alipoamua kubadilika.
Image result for gucci mane 2017
kubadilisha kila kitu, kuanzia LifeStyle yake, Choice zake na kuamua kufocus kwenye maisha yake mapya ambayo ndiyo anayosengesha sasa”Image result for gucci mane 2017

0 comments:

Post a Comment