Pages

Subscribe:

Saturday, September 30, 2017

WOLPER: FID Q NI MTU MWINGINE NINA NYIMBO ZAKE TANGU ANAANZA MUZIKI



Muigiza wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameeleza mahaba yake ya kimuziki kwa rapper Fid Q. Wolper amesema amekuwa akifuatilia muziki wa Fid Q toka mwanzo msanii na huyo hajawahi kutoa wimbo kwake ukawa mbaya.

“Fid Q namba nyingine kabisa, namba chafu yaani ni mtu ambaye namkubali sana, nina ngoma zake toka anaaza muziki hadi ya jana...
Fresh,” amesema Wolper.

“Hakuna wimbo wa Fid ambao siujui na ambao siupendi napenda ngoma zake zote, sijawahi kuchukia ngoma yake hata moja na ninafikiri actually anajua,” ameongeza.

0 comments:

Post a Comment