Pages

Subscribe:

Wednesday, September 27, 2017

FOYD MAYWEATHER AWEKA PICHA YA MC GREGOR NDANI MWAKE

Floyd Mayweather has unveiled a new piece of art at his Beverly Hills mansion
Bondoa Floyd Mayweather ametambulisha mjengo wake mpya lakini cha ajabu ni kwamba ndani ya mjengo huo kuna picha ya bondia mwenzake ambae alipambana nae mwezi wa nane na kumpiga kwa TKO Conor Mc Gregor,mpaka sasa bado aijajulikana kwanini lakini picha hizo zimeonekana kumvuti sana bondia huyo wakati picha hizo zikiwa zime nakshiwa kwa vipande vya...
glass.

Unadhani ni kwanini Mayweather ameweka picha ya Mc gregor?

.Mayweather has recently been showing off his new £18.9m mansion in Beverly Hills
She produced this image of the 50-0 undefeated star from his bout with Manny Pacquiao
Anderson, known as 'The Pretty Artist' has previously worked on other designs for the boxer
.The artwork is made using broken glass and shows both men in front of their flags
.The artwork is made using broken glass and shows both men in front of their flags
.The image is the work of Tiffanie Anderson and shows Mayweather and Conor McGregor

0 comments:

Post a Comment