Pages

Subscribe:

Sunday, September 24, 2017

SHETTA ABAHATIKA KUPATA MTOTO WA PILI

Msanii wa muziki Shetta apata mtoto mwingine wa pili baada ya mtoto wake wa kwanza wa kike Qayllah.

Rapper huyo amethibitisha kupata mtoto wake huyo mwingine kupitia mtandao wa Instagram.

Kupitia mtandao huo Shetta ameandika, “Welcome to the World my New born Baby….. /Karibu Duniani mwanangu….!! Asante Mungu kwa...
huyu mwingine sasa @officialqayllah Uache kuringa #blessings .”

0 comments:

Post a Comment