Pages

Subscribe:

Friday, September 22, 2017

YOUNG D AFUNGUKA HAYA JUU YA KUVAA SKETI



Msanii wa muziki Bongo, Young amenyoosha maelezo baada ya kuonekana akiwa amevaa sketi. Wiki mbili zilizopita ilivuja katika mtandao picha ya utupu ya Amber Lulu akiwa na Young Dee ambaye alionekana akiwa amevalia sketi, amesema hakua na maana hiyo kama baadhi ya watu walivyoipokea.

“Ile sketi ni idea ambayo ilikuja na zile picha, mimi ni mtu ambaye napenda kujaribu vitu vingi na off course nimepata...
comment nyingi nzuri especially nje ya Tanzania, kwamba nimetisha,” amesema Young Dee.

“Lakini tatizo linakuja huku kwetu, unapompelekea mtu ambaye hajakizoea hicho kitu muda wote lazima iwe ni changamoto lakini kwangu ile sketi haikuwa na shida kama ile picha nyingine,” ameongeza.

Young Dee kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Kiutani Utani’ baada ya kusumbua na Bongo Bahati Mbaya.

0 comments:

Post a Comment