Pages

Subscribe:

Thursday, September 21, 2017

Download: Nikki wa II ft ChinBees_Kihasara (Audio)


Tofauti kubwa ya msichana na mvulana katika jamii yetu, mvulana yeye hachaguliwi kuwa nani mvulana hufuata msukomo wake wa ndani unataka nini, lakini wasichana tayari jamii inakuwa imesha mchagulia namna ya kuwa na imesha mchorea mipaka, kifupi wasichana wanatengwa na nafsi zao yani wasifu wao wa ndani......so kila msichana ana wajibu wa kupambana na mfumo huu hatari kwa ustawi wao.......wasichana tumewakata mabawa alafu tuna washutumu kwanini hawa pai kwenda juu

Play Here

Download

0 comments:

Post a Comment