Pages

Subscribe:

Saturday, September 30, 2017

ZARI AVUNJA UKIMYA AFUNGUKA HAYA BAADA YA DIAMOND KUACHIA WIMBO MPYA


Some things need no caption but only thanks giving to the supporters of good music. Congz👏

Wiki mbili zilizo pita baada ya Diamond kukiri kuzaa na Mobeto ilizuka mijadala mingi na mbaya zaidi ni pale ambapo kwenye instagram account ya Zari ilionekana ikiwa imefutwa picha zote za Diamond kitu kilicho pelekea maneno kuongezeka mtaani na watu kudai kuwa wawili hao ndiyo baasi tena.

Lakini leo baada ya Diamond  kufikisha Views Milioni 1 ndani ya saa 15 zari amejitosa kwa kuamua kuipost picha hiyo hapo juu na kuandika...
maneno yanayo ashiria kutoa pongezi na shukurani kwa sapoti aliyo ipata mume wake huyo.
 
 Zari ameandika: Some things need no caption but only thanks giving to the supporters of good music. Congz👏

Vitu vingine havihitaji maelezo yoyote lakini shukrani tu kuwapa wafuasi wa muziki mzuri. Congz👏

0 comments:

Post a Comment