Pages

Subscribe:

Saturday, September 30, 2017

JOKATE AVUNJA UKIMYA AFUNGUKA HAYA JUU YA WIMBO MPYA WA DIAMOND


Diamond anaweza kwa sasa akawa anafungua chupa za Champagne kutokana na mafanikio ya masaa machache ambayo yameanza kuonekana kupitia wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ ambao amewashirikisha Morgan Heritage kutoka jamaica.

Jokate Mwegelo ni miongoni mwa mastaa wa Bongo ambao wameonekana kuuzimikia wimbo huo kutokana na...
kile kinachosikika ndani yake ambacho hakikutarajiwa kutoka kwa diamond.

Kupitia mtandao wa instagram, Jokate ameweka picha ya kava ya wimbo huo na kuandika, “Another day. Another . Another Hit Song Movie from Chibu Dee Baba Dullah @diamondplatnumz @wcb_wasafi ft @morganheritage #Hallelujah.” Mpaka sasa wimbo huo umeshatazamwa zaidi ya mara laki nane kwenye mtandao wa YouTube ikiwa ni takribani masaa 20 yamepita tangu ulipoachiwa.

0 comments:

Post a Comment