Pages

Subscribe:

Tuesday, September 26, 2017

RAPA LUPE FIESCO AFIKA NGAZI ZA JUU KTK MAFUNZO YA NGUMI

Image result for lupe fiasco
Hivi unamfahamu Lupe Fiasco? Rapper Mmoja hivi aliwahi kutamba na ngoma yake ya The Show Goes On, Unaambiwa hivi kwa steji aliyofikia Mshikaji Chris Brown anaweza kukalizwa chini.

Kwa muda mrefu jamaa amewahi kuposti vipande vyake vya video akiwa anajifunza kutumia mapanga kama ma Shaolin, Sasa kupitia kurasa yake ya Instagram, Jamaa ameonyesha...
ameiva ile kinoma noma, kwa haraka haraka mwana anaweza akawa ninja.

Wengi tunamfahamu Chris Brown kama ni moja ya wasanii ambao wanajua michezo ile ya ngumi ila kwa Lupe Fiasco steji aliyofikia ni balaa Zaidi. 

Image result for lupe fiasco

Image result for lupe fiasco

Image result for lupe fiasco

0 comments:

Post a Comment