Pages

Subscribe:

Thursday, September 21, 2017

IRENE UWOYA: NATAKA MWANAUME HALISI SIYO ANAKUWA MLAINI KAMA MTOTO WA KIKE

Msanii wa kike wa filamu za bongo ambaye pia aliwahi kuolewa na mcheza mpira kutoka Rwanda, mlimbwende Irene uwoya, amesema mpenzi wake wa sasa ana ngeu nyingi mwilini za kuchanwa visu. 

Akipiga stori Irene amesema watu kama hao ndio anaowataka yeye kwani inaonyesha uanaume halisi, na sio...
mwanaume anakuwa laini kama mtoto wa kike.
"Sijasema napenda wanaume wenye sura mbaya nimesema napenda mwanaume mwenye sura ya kiume, mwanaume uwe na ngeu, mimi bwana wangu ana ngeu, kachanwa visu yani", alisikika Irene Uwoya
.
Irene uwoya kwa sasa hajaweka wazi mahusiano yake tangu kuwe na habari za kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Msami, na amesema hataweka tena mahusiano yake wazi kwenye mitandao.

0 comments:

Post a Comment