Pages

Subscribe:

Tuesday, September 26, 2017

RAPA KUTOKA MAREKANI B.O.B AFANYA JAMBO HILI ILI KUTHIBITISHA KUWA DUNIA SIYO DUARA

B.o.B
Rapper B.O.B ameamua kuiweka aibu pembeni na kuamua kukomaa na mawazo yake kwamba Dunia ipo Flat na wala sio duara, Ili kuakikisha hilo liafanikiwa ameamua kukusanya fedha kwa ajili ya kusibitisha kwamba Dunia ipo Flat.

Najua utakuwa unacheka sana, ila Mshikaji wazo lake alilitoa January mwaka huu kwa mashabiki zake. Sasa Ili kufanikisha akaamua kuanzisha mfuko wa kuchangia Mitonyo ili kuhakikisha vinatafutwa vifaa na kupelekwa...

sayarini kuhusu Dunia kuwa Flat na wala sio duara, Mfuko huo ameupa jina la BOB THE CURVE, mpaka sasa kuna watu 13 ambao wameshachangia ishu hiyo ambao wametoa mtonyo wa dola 195.
Image result for b.o.b rapper
Vipi na Wewe unamuunga B.O.B juu ya hilo?.

0 comments:

Post a Comment