Pages

Subscribe:

Thursday, September 21, 2017

DIAMOND: YULE WALOMWITAGA MGUMBA LEO BABA WATATU



Ni kweli ukitaka kumuuwa paka lazima ufanye kazi kwa kuwa ana ‘roho saba’? Basi inawezekana kumteketeza Diamond lazima ufanye kazi pia.

Msanii huyo amewajibu wabaya wake kupitia mtandao wa Instagram, baada ya kuonekana kuibuka mshindi katika vita ya...
mtoto aliyezaa na mrembo Hamisa Mobetto.

Kupitia mtandao huo ameandika:
“Chawa KATU hauliwi kwa DOLE GUMBA…… Leo kawa Baba WATATU yule walomuitaga MGUMBA….”

0 comments:

Post a Comment