Pages

Subscribe:

Wednesday, September 27, 2017

CHINA WAWEKA WAZI SABABU ZA KUUFUNGIA MTANDAO WA WHATSAPP


Image result for China closed whatsapp
Serikali ya watu wa Uchina imefanya maamuzi mengune ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza yakawa na tija katika kuendeleza maendeleo katika taifa hilo amabalo limekuwa kwa kasi kiuchumi.

Baada ya kufungia huduma ya kupiga simu na kutuma video na picha kwenye mtandao wa Whatsapp, Serikali ya China imeamua kuzima kabisa matumizi ya Whatsapp kwa...
raia wake.

Sababu ni kwamba mtandao wa Whatsapp umekuwa na huduma ya End to End Encryption ambayo inafanya Chats za watumiaji wake kutoweza kuonekana na Serikali, ishu hiyo ndio inatajwa kwa mtandao huo kuzimwa.

0 comments:

Post a Comment