Pages

Subscribe:

Saturday, September 30, 2017

WASANII WA MAREKANI WAANZA KUCOPY STYLE YA WIZKID


Kupitia Episode ya Complex News Everyday Struggle inayo simamiwa na rapper Joe Budden pamoja na Dj Akademiks,sasa iko hivi Joe Budden bhana kafunguka kuhusu Wasanii wa Marekani kumkopi Wizkid staili yake ya muziki lakini Mwisho wa Siku wanashindwa kumpa Sapoti kwa kununua Album yake ya The Sound From The Other Side.

Katika show hiyo ambayo huwa kuna kuwa na mazungumzon mengi kuhusu mambo mbali mbali yanayo husiana na mambo mbalimbali ya muziki sasa ukiachana na inshu ya Wizkid ishu nyingine ni...
ya Young Dolph na Yo Gatti ambapo Jeshi la Polisi limefunguka kwamba Yo Gatti hausiki kwenye tukio hilo na kuna mtu ambaye kashakamatwa na anashikiliwa na polisi.
Image result for joe budden and wizkid
Wakati maongezi hayo yakiwa yanaendelea, Joe Budden ambaye ni host wa show hiyo, altoa hisia zake kuhusu Wasanii wamarekani kuiba staili ya muziki anaoufanya Wizkid lakini mwisho wa siku wanashindwa kutoa sapoti kwa mshikaji hata kwa kununua Album yake, kitu ambacho kilimfanya Joe Budden kushangaa sana kwa ambacho kinaendelea.

0 comments:

Post a Comment