Pages

Subscribe:

Wednesday, November 15, 2017

AFANDE SELE AMJIBU MRISHO MPOTO AMTAKA AVAE VIATU AACHE MILA POTOFU



Baada ya msanii wa muziki wa asili nchini Mrisho Mpoto kumtaka rapa Afande Sele kuacha kumtaja marehemu Steven Kanumba kwa mambo mabaya, rapa huyo mwenye makazi yake mkoani Morogoro amemtaka Mrisho Mpoto kuacha mambo ya kizamani.

Mrisho alimlaumu Afande kwa kusema Marehemu hasemwi vibaya, Baada ya kauli hiyo Afande Sele amerudi upya na kumjibu Mrisho Mpoto.

Sikiliza hapa chini alicho kijibu Afande kwenda kwa Mrisho Mpoto.

Play Here

0 comments:

Post a Comment