Pages

Subscribe:

Friday, November 10, 2017

GAVANA AJA NA KAMPENI YA KUMWACHIA MEEK MILL


Wakati ambapo rapper wa Marekani, Meek Mill akianza kutumikia kifungo cha miaka 2-4 jela, gavana wa jimbo la Pennsylvania, Tom Wolf ameanzisha kampeni iliyopewa jina #JusticeForMeek, kumtetea apewe haki yake. 

Wengi wameilaani hukumu hiyo wakidai kuwa ni kubwa mno kwa kosa la kukiuka tu masharti ya probation, Zaidi ya watu 171,000 hadi jana walikuwa wamesaini petition hiyo wakitaka...
Meek aachiwe huru.
 
“More than just a celebrity or rapper, Meek Mill has been a powerful voice in the community for our youth,” alisema Wolf. “He has made positive contributions to many communities and programs, dedicating time and money to the cultivation of our youth and neighborhoods; even through his own adversities. 

He has continued to be dedicated and shown an immaculate work ethic, even at times when the system tried to prevent him from being able to tour, which is how he makes a living.”

Aliendelea, “This petition is designed to show the amount of people who believe that the punishment was harsh and that him being imprisoned will be a disservice to the youth and community at large, We humbly ask for your reconsideration of his sentence.”
Rappers wengine akiwemo bosu wa Roc Nation, JAY-Z nao wamelaani hukumu hiyo wakidai ni ya uonevu. Kambi ya Meek imesema inaikatia rufaa hukumu hiyo.

0 comments:

Post a Comment