Pages

Subscribe:

Saturday, November 11, 2017

HATIMAYE UPASUAJI WA MBWANA SAMATTA WAFANIKIWA MWENYEWE AFUNGUKA

Nohodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Ally Samatta siku ya leo ameweza kutangaza habari njema kwa wa Mashabiki wa soka kuwa zoezi la upasuaji limesha fanikiwa na sasa anachukua fursa kuwashukuru madaktari na mashabiki wote waliomwombea.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Samatta amepost picha akiwa amevalia mavazi ya hospitali huku akiwa kitandani na kuandika...

I would like to let everyone know that my surgery went well and I am now on the road to recovery. 
I would like to thank God, My  Medical team and my supporters. I have received so many messages from all over the world and I am very grateful to each and everyone for your kind words and prayers.
........................................
.Napenda kuwajulisha kuwa operesheni yangu imeenda vizuri. Napenda kumshkuru mwenyezi Mungu, timu ya madaktari pamoja na mashabiki wangu. 
Nimepokea meseji nyingi sana kutoka sehemu tofauti duniani na napenda kuchukua fursa hii kuwashkuru sana kwa meseji na Dua zenu.

I would like to thank God, My Medical team and my supporters. I have received so many messages from all over the world and I am very grateful to each and everyone for your kind words and prayers.
........................................
.Napenda kuwajulisha kuwa operesheni yangu imeenda vizuri. Napenda kumshkuru mwenyezi Mungu, timu ya madaktari pamoja na mashabiki wangu.
Nimepokea meseji nyingi sana kutoka sehemu tofauti duniani na napenda kuchukua fursa hii kuwashkuru sana kwa meseji na Dua zenu. Ameandika Samatta

0 comments:

Post a Comment