Pages

Subscribe:

Saturday, November 11, 2017

HII NDIYO ZAWADI ALIYOPEWA DIPLO KUTOKA KWA KUNDI LA MAJOR LAZER


Kundi la muziki na maarufu kutoka nchini Marekani ‘Major Lazer’ linaloundwa na wakali watatu, Diplo, Jillionaire na Walshy Fire limeachia video ya wimbo wao mpya terehe ya kuamkia siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwenzo ‘Dilpo’.

Usiku wa jana kuamkia tarehe ambayo Diplo ametimiza umri wa miaka 39, ulimwengu wawapenda burudani wamepokea zawadi ya kazi mpya toka kwa Major Lazer ‘Jump’ wakiwa...
wamemshirikisha mkali wa muziki wa danso kutoka Jamaika ‘Busy Signal’

Tazama wimbo huo hapa chini

Watch Here

0 comments:

Post a Comment