Pages

Subscribe:

Monday, November 6, 2017

HUU NDIYO MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI ZA JANA NOV 5

November 5 2017 Ligi Kuu England iliendelea kwa michezo kadhaa kuchezwa ikiwemo big match za Chelsea dhidi ya Man United iliyomalizika kwa Chelsea kupata ushindi wa goli 1-0, goli likifungwa na Alvaro Morata dakika ya 55 kwa kichwa.

Arsenal wakipata la kufutia machozi kutoka kwa Alexandre Lacazette dakika ya 65, ushindi huo sasa umeifanya Man City kuenelea kuwa kileleni mwa msimamo wa EPL kwa kuwa na point 31 wakati...
Chelsea wakiwa nafasi ya nne kwa kuwa na point 22.
Matokeo ya game zote za EPL zilizochezwa November 5 2017.
Msimamo wa EPL ulivyo kwa sasa

0 comments:

Post a Comment