
Baada ya mechi kumalizika kwa sare ya kuto fungana na URA hatimae Azam Fc imeweza kutwaa ubingwa huo wa kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa penati 3 - 4 ambapo kipa wa Azam Razark Balora baada ya kudaka penati moja na kuifanya Azam kutangazwa kuwa bingwa wa michuano hiyo kwa mara ya pili mfurulizo.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment