Pages

Subscribe:

Tuesday, September 12, 2017

CHEGE KUACHIA ALBAMU MPYA WIKI HII

Msanii wa Bongo Flava, Chege amethibitisha ujio wa albamu yake yenye ngoma zaidi ya kumi itakayodondoka Ijumaa hii.

“Ijumaa na dondosha albamu ya Run Town, hii ni albamu yangu ya nne katika muziki, kwa sasa bado tupo kwenye kikao cha mwisho cha kujadili albamu hii ipatikane...
sehumu gani,” Alifunguka kwenye kipindi cha Daladala Beat ya Magic Fm.
Kwasasa Chege anatamba na ngoma yake mpya ya ‘Run Town’

0 comments:

Post a Comment