Pages

Subscribe:

Wednesday, September 13, 2017

NICKI MINAJ AFUNGUKA HAYA JUU YA BIFU LAKE NA REMYMA


Baada ya kusubiri kwa miaka mitatu sasa rapper Nick Minaj ametangaza ujio wa Albam yake mpya, Msanii huyo ambae Albam yake ya mwisho ilitoka mwaka 2014 iliyo kwenda kwa jina la The Pinkprint ambayo ilifanya vizuri kutokana na baadhi ya ngoma zake kubeba tuzo mbalimbali.

Msani huyo ameweka wazi jambo hilo wakati akiwa kweye Tamasha moja huko New York akisema kwamba...
”Anawapenda mashabiki zake sana na wakae tayari kwa Albam yake mpya ambayo itakuwa ni balaa” Hii ni mara ya kwanza kwa Nick minaj kuweka wazi kuwa anatarajia kutoa albam.

Aliongeza kwa kusema anatambua itakuwa kati ya albam bora kuwahi kuzifanya kwakuwa kila wakati huwa anaenda na muda na kwasasa anafahamu ni kitu gani mashabiki wanakitaka, Aliongeza kwa kusema kuwa Awezi kuweka wazi nilini atatoa albam hiyo iala mashabiki wakae mkao wakula.
 
Wakati huo huo Nick Minaj aliulizwa kuhusu bifu lake na Remy Ma na kusema kuwa”sikuanza kurap kwa ajili ya kushindana na mtu ila ninachotaka kusema kuwa nawashukuru mashabiki wangu kwa kuwa na mimi wakati wote na Albam yangu mpya itakuwa kama zawadi kwao”

0 comments:

Post a Comment