skip to main |
skip to sidebar
SABABU INAYO PELEKEA FAIZA KUFANYA UPASUAJI WA MATITI

Msanii mwenye vituko kutoka tasnia ya Bongo Fleva, Faiza Ally
amefunguka kuwa akimaliza kunyonyesha tu mtoto wake wa pili
aliyejifungua hivi karibuni lazima afanye upasuaji wa matiti kuwa binti
mdogo.
Akizungumza katika mahojiano maalum Faiza ambaye ana watoto wawili kwa sasa alisema, tangu amejifungua mtoto wa pili ameongeza furaha na kumfanya...
kujiamini zaidi.
“Unajua kila kitu ni kupanga kwa sababu
huyu baba wa mtoto wangu wa pili ni Mmarekani na hatukuwahi kupanga
kuishi pamoja zaidi ya kuja labda kwa mara moja kuona mtoto wake basi.
“Kwa sasa sina mpango wa kuongeza
mwingine tena nikimaliza kunyonyesha nitaenda kufanya operesheni ya
matiti kuyarudisha saa sita yaani nirudi msichana kabisa labda,” alisema
Faiza.
0 comments:
Post a Comment