Mchezaji wa tennis Marekani, Serena Williams amemuonesha kwa mara ya kwanza mtoto wake wa kike Alexis,Staa huyo alijifungua wiki mbili zilizopita ameweka picha akiwa na mtoto wake kwenye ukurasa wake wa Instagram,Mtoto huyo alipewa jina la baba yake Alexis Ohanian ambaye ni mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Reddit.
Haya ndio maneno aliyo andika mcheza tenisi huyo katika ukurasa wake wa Instagram
Meet Alexis Olympia Ohanian Jr. You have to...
check out link in bio for her amazing journey. Also check out my IG stories




Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment