Pages

Subscribe:

Saturday, November 4, 2017

ALICHO KISEMA ROSA REE KUJIUNGA NA WCB BAADA YA KUMALIZANA NA THE INDUSTRY


Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Rosa Ree amejibu iwapo utajiunga na label ya WCB. Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Dow’ amelazimika kujibu swali hilo mara baada ya mkataba wake na label ya The Industry kumalizika.

“Hatujaongea about it, but am open to anything as long as ina...
manufaa kwangu but hatujaongea” Rosa Ree amefunguka

0 comments:

Post a Comment