Pages

Subscribe:

Thursday, November 9, 2017

ALICHO KISEMA TIWA SAVAGE BAADA YA KUFIKISHA VIEWS MIL. 1 NDANI YA SIKU 4


First Lady wa Mavin Record, Tiwa Savage ameanza kusherekea mafanikio ya ngoma yake ya ‘Malo’ kwa kufikisha views milioni moja ndani ya siku nne.

Ngoma hiyo ambayo amewashirikisha Wizkid na Spellz imeweza kumpa furaha mrembo huyo, kwa kuwa na watazamaji wengi lakini pia kuingia kushika nafasi za juu katika mtandao wa YouTube kwa upande wa...
Nigeria na chati kadhaa za muziki nchini humo.

‘Malo’ ni moja ya ngoma sita zinaopatikana katika mixtape ya ‘Sugarcane’ ya mrembo huyo iliyotoka Septemba 22, mwaka huu na imekuwa ikifanya poa kwa upande wa mauzo.

Tiwa Savage amepost picha instagram na kuandika" :
Woowwwwww OMG I feel so blessed 1m in 4 days guys ... 💃🏻💃🏻💃🏻 #malo #RoboSkeSke

0 comments:

Post a Comment