Pages

Subscribe:

Thursday, November 9, 2017

TYGA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE KTK NCHI 6 TOFAUTI NOVEMBA HII


Rapa Tyga au unaweza kumuita Kinggoldchains anakuja na style ya pekeake katika kusherehekea siku ya kuzaliwa tofauti na tulivyozoea kutoka kwa mastar kibao. 

Tyga ameamua kuandaa kitu kinachoitwa Birthday Tour na kuzunguka katika nchi sita duniani na kula bata na mashabiki zake. Kinggoldchains atadondoka katika nchi ya FIRENZE+ LONDON + MILAN + DUBAI + PARIS na atamalizia...
MIAMI.


Kwa mchongo huo unaambiwa Tyga anaweza kupiga mkwanja mrefu ndani ya muda mfupi.

0 comments:

Post a Comment