Pages

Subscribe:

Monday, November 6, 2017

ASLAY: DOGO JANJA ALIKUWA ANAVIZIA PENZI LA IRENE UWOYA

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay amefunguka na kusema kuwa msanii Dogo Janja yeye ndiye alikuwa anamvia Irene Uwoya na kusema ni kweli sasa wameoana na wanaishi kama mume na mke. 

Aslay amesema kuwa yeye anachojua watu hao saizi ni mume na mke na si kweli kuwa Irene Uwoya kwamba alikuwa anamvizia sana Dogo Janja bali...
yeye anaamini kuwa huenda Dogo Janja ndiye alikuwa anavizia penzi la Irene Uwoya.

0 comments:

Post a Comment