Pages

Subscribe:

Saturday, November 11, 2017

BILL NASS ASEMA HAYA BAADA YA KUHITIMU MASOMO YA CHUO



Hit maker wa ‘Sina Jambo’ Bill Nass au Bill Nenga amehitimu rasmi masomo yake katika Chuo cha Biashara (CBE) kilichopo jijini Dar Es Salaam, na kutunikiwa Shahada yake ya kwanza.

Rapper huyo wa ngoma kadhaa zinazofanya vizuri katika media mbalimbali ameingia katika orodha ya wasanii waliohitimu masomo yao kwa mwaka huu kama vile...
mkali wa RnB Bongo, Jux aliyehitimu masomo yake mwaka huu nchini China.

Pia atakuwa mwiongoni mwa wasanii mwenye elimu ya juu ambao kuna mastaa kama  katika kiwanda cha burudani nchini .

Kupitia Instagram Bill Nass ameandika:
Done Deal 🙏🏿🙏🏿 ni Baraka za Pekee Sana...Mungu wetu ni Mwema...Big S/O Kwa Familia Ndugu na Wazazi...Momma I made it pia big s/o kwa @aman.lyimo na @chanch_floyd Mmekuwa Watu Muhimu Sana Kwenye Maisha Yangu katika kila Hatua....Big S/O kwa Wana CBE wote Kuanzia Uongozi,Walimu,Wanafunzi Wenzangu Mpaka Walinzi Mlifanya nikione Chuo Sehem Salama Sana na Kukipenda pia...Big S/O To My Ex-Girlfriend Ulikuwa unapata tabu sana Kuniamsha mara kuweka Alarm Bt Now I made it...Natambua Mchango Wako Pia...Bila Kumsahau @mrttouchez ulikuwa unaweza kunifikiria hata nikiwa chuoni bado ukanitumia Beat Kali na Tukapata kazi Nzuri Pia Big Thanx to @tidmusic @mwanafa Hamkutaka nishinde Maskani Muda Wa Masomo.... Major Thanx kwa Media zote ambazo zimekuwa zikisupport mziki wangu hata bila kuwachek sababu ya kuwa busy na Masomo na kushindwa kufanya Interview za hapa na pale....it's all Love...sio Mwisho Bali Ni Mwanzo Wa William Mpya...na Bill Nass mwengine.

0 comments:

Post a Comment