Pages

Subscribe:

Tuesday, November 7, 2017

BLACK CHYNA AJIWEKA KWA RAPPER PLAYBOI



Blac Chyna amezama kwenye penzi jipya. Baada ya kuwa na uhusiano wenye migogoro mingi na Rob Kardashian, mrembo huyo anadaiwa kuwa na uhusiano na rapper Playboi Carti. 

Chyna alitumia Snapchat kutangaza uhusiano huo Jumamosi kwa kuweka video akiwa na rapper huyo wakiendesha gari mitaa ya Los Angeles. Wawili hao walionekana pia...
wakiwa pamoja kwenye jengo la ComplexCon huko Long Beach, Calif.
Uhusiano huo umekuja wakati ambao Chyna naye ameingia kwenye rap.

0 comments:

Post a Comment