Pages

Subscribe:

Tuesday, November 7, 2017

FID Q NA AY KUJA NA PROJECT YA TRAP


Fareed Kubanda aka Fid Q na Ambwene Yessayah aka AY wanataka kuwaonesha damu mpya ya rap kuwa nao wanaiweza mikato yao. Baada ya kuungana na mkongwe mwenzao, Mwana FA kwenye Upo Hapo, AY na Fid wanakuja na ngoma ya trap, kwa mujibu wa producer wa MJ Records, Beef Chaa.

Beef ameandika kwenye Instagram: @therealfidq x @aytanzania #Trap #MjRecords.
Fid alicomment pia, Umeamua...

kulimix au?” na Beef kujibu: Nishamaliza kulimix bado @marcochali kufanya mastering tu.”

0 comments:

Post a Comment