Pages

Subscribe:

Tuesday, November 14, 2017

DIAMOND: LULU WEWE NDIYO MSICHANA PEKEE UNAEWEZA KUHIMILI MTIHANI HUU

Miongoni mwa Habari kubwa leo Tanzania ni Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” kuhukumiwa kwenda jela miaka miwili kwenye kesi iliyokua ikimkabili ya kusababisha kifo cha Mwigizaji Kanumba bila kukusudia.

Baadhi ya Watu maarufu wa Tanzania wamezipokea taarifa hiyo kwa masikitiko na kumuandikia Lulu, hii ni ya Mwimbaji Diamond Platnumz:Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe sababu anaamini...
wewe ni Shujaa na Imara…..pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu…. hivyo usisononeke, Make him Proud!!!”

0 comments:

Post a Comment