Pages

Subscribe:

Tuesday, November 14, 2017

NANCY DADA WA VANESSA MDEE NA MIMI MARS AACHIA WIMBO MPYA MTAZAME HAPA

Tunawafahamu Vanessa Mdee na Mimi Mars ambao ni mtu na mdogo wake na wote wanafanya muziki wa Bongofleva, leo hii Smashkilimanjaro inamtambulisha Dada yao ambae ni mkubwa kwao ambae anafanya muziki lakini wa Gospel.

Jina lake ni Nancy Hebron na hii ni single yake ya pili inaitwa ‘Silogeki‘ huku ya kwanza ikiwa ni ‘Taa ya miguu yangu’. Tazama hapa chini video yake mpya ya SILOGEKI.

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment