Pages

Subscribe:

Thursday, November 9, 2017

DIAMOND PLATNUMZ AANDIKA HIKI JUU YA TUKIO LA RAPA MEEK MILL


Staa wa muziki wa Bongo Fleva Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ameungana na mastaa kibao Duniani katika mchakato wa kuutetea uhuru na kumtia moyo Rapa na staa wa muziki kutoka Marekani Meek Mill aliyehukumiwa kifungo cha miaka 2-4 jela hukumu iliyotoka wiki hii.

Kwa rapa Meek Mill ilifahamika kuwa atayaishi maisha ya jela kwa muda wa miaka 2-4 baada ya hukumu ya kosa na kukiuka mashariti ya kuishi chini ya uangalizi wa kisheria wa maosa yake ya kesi ya...
mwaka 2009 iliyomkabili kwa kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria na ushahidi wa kukutwa na mdawa ya kulevya.

Meek Mill aliingia katika matatizo makubwa haya ya kuishi nyuma ya nondo za gereza baada ya tukio la kupigana uwanja wa ndege na makosa mengine ambayo ni sambamba na kosa na kuendesha pikipiki kwa fujo mjini New York.

Kupitia Instagram Diamond ameandika:  Because you are Strong enough and God knows you can Manage it, that's why he decided to challenge you....Don't be disappointed, Make him Proud!!! #FreeMeekmill #MMG #Wcb4Life

0 comments:

Post a Comment