Pages

Subscribe:

Thursday, November 9, 2017

RUBY: NAPENDA KUIMBA LIVE KWA SABABU NILIANZA HIVYO TANGU UTOTONI


Wasanii wengi wa Bongo Flava hupenda zaidi kutumbuiza kwwa CD jukwaani, lakini si kwa Ruby. Amefunguka, “Yaani mimi napenda kuimba live kwasababu nishazoea kuimba live tangu mdogo. Kwahiyo mimi kuimba kwenye CD kitu ambacho bado nafanyia mazoezi, ameongeza.

CD inaninyima uhuru unajua nikiimba live naweza kucheka, naweza kuongea na mashabiki pia na bado nikarudi...
pale pale so napenda kuimba live.”
Ruby amewaomba mashabiki zake waendelee kuwa na subira juu ya kazi zake mpya.

0 comments:

Post a Comment