Pages

Subscribe:

Thursday, November 9, 2017

BARNABA: NAANDIKIA NYIMBO HATA WASANII WASIOWEZA KUIMBA


Barnaba amedai kuwa hana kasumba ya kubagua wasanii wa kuwaandikia nyimbo. Ameiambia Dizzim Online kuwa kila msanii hata asiyejua kuimba anaweza kupata huduma yake.

“Mimi akija msanii hata kama hajui kuimba mimi nitamuandikia tu,” amesema. “Kwasababu ninachoamini  nyimbo nitakayomuandikia Maua ni tofauti na...
nitakayomuandikia Gigy Money na nyimbo nitakayomuandikia Vanessa ni tofauti na nitakayomuandikia Shilole. Si najua uwezo wa kila msanii,” amesisisitiza.

Barnaba kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Nampaga.

0 comments:

Post a Comment