Pages

Subscribe:

Monday, November 6, 2017

MADEE: NILIMPIGIA SIMU UWOYA ILI NIJUE KAMA KWELI ANAOLEWA NA DOGO JANJA

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Madee amefunguka na kusema kuwa msanii Dogo Janja ambaye amemlea na kumtambulisha katika ulimwengu wa muziki alimficha sana kuhusu mahusiano yake na Irene Uwoya.  

Madee amesema hayo na kudai kuwa awali kabla ya kupewa taarifa ya msanii huyo kuoa walikaa karibu siku mbili wakijifikiria wanapelekaje taarifa hizo kwake na kusema siku alipoambiwa...
hakuamini hivyo ilibidi ampigie simu Irene Uwoya kwanza kutaka kujua kama kweli au Dogo Janja anataka kumpiga mzinga.

0 comments:

Post a Comment