Pages

Subscribe:

Monday, November 6, 2017

NAY WA MITEGO AZITOSA NYIMBO ZA ALIKIBA NA DIAMOND


#NguvuYaKitaa
Nay wa Mitego amefunguka na kuzitaja ngoma kubwa ambazo zimepata umaarufu mkubwa zaidi nchini na kusema ni ngoma ya Muziki ya Darassa, Moyo Mashine ya Ben Pol, Bongo Bahati mbaya ya Young D na Wapo ya Ditto huku akizitosa ngoma za Alikiba na Diamond. 
Ney wa Mitego amesema na kudai hizi ndiyo ngoma kali ambazo zilitoka na kuwa kubwa kila kona nchini na kuleta... mpaka misemo mtaani huku akidai zipo nyimbo nyingine zilikuwa kubwa lakini hazikuwa na matokeo makubwa kama ngoma hizo alizozitaja.

0 comments:

Post a Comment