Pages

Subscribe:

Tuesday, November 7, 2017

MEEK MILL KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE KWENDA JELA


Rapper Meek Mill amehukumiwa kifungo cha miaka 2-4 jela. Hukumu hiyo imetolewa na jaji wa Philadelphia baada ya rapper huyo kukiuka masharti ya probation ya kesi yake ya mwaka 2009 ya kumiliki dawa za kulevya na silaha.

Hukumu ya rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Robert Williams, imetolewa Jumatatu hii. Imetolewa baada ya rapper huyo kupigana kwenye ...
uwanja wa ndege wa St. Louis na kuendesha pikipiki kwa fujo huko New York City.

Rapper Jay Z amelaaani hukumu hiyo akisema ni ya uonevu akiandika:
The sentence handed down by the Judge — against the recommendation of the Assistant District Attorney and Probation Officer — is unjust and heavy handed. We will always stand by and support Meek Mill, both as he attempts to right this wrongful sentence and then in returning to his musical career.

0 comments:

Post a Comment