Pages

Subscribe:

Friday, November 10, 2017

MSONDO WAMSHITAKI DIAMOND PLATNUMZ WATAKA AWALIPE MILIONI 300


The BADDEST man👈 #simba #ABoyFromTandale #............ , how you call him???

Nihabari ambazo zilisambaa jioni ya jana kutokana na barua ya Wanasheria iliyosambaa ikionyesha kwamba Band ya Msondo Ngoma inataka kundi la WCB linaloongozwa na Diamond Platnumz liwalipe milioni 300.
 
Barua hiyo iliyopelekwa pia BASATA na COSOTA inasema Milioni 300 hizo wanazidai kama fidia kutokana na WCB kutumia...
bila ruhusa melody ya saxaphone ambayo ni ya wimbo wa Msongo Ngoma.
Tunaamini watayamaliza haya salama.
 
 

0 comments:

Post a Comment