Pages

Subscribe:

Wednesday, November 15, 2017

VANESSA MDEE JUU YA COLABLE YAKE NA MAJOR LIZER KUTO TOKA MPAKA SASA


Msanii Vanessa Mdee amefunguka kwanini hadi sasa kolabo na kundi la watayarishaji wa muziki, Major Lazer haijatoka, Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Bounce’ amesema kolabo hiyo ni ya kundi hilo hivyo wao ndio wenye mamlaka ya kuamua lini itoke.

Katikati ya mwezi April mwaka huu Vanessa na Major Lazer walishare picha katika kurasa zao za mtandao wa Instagram zikionyesha wakiwa...
location kwa ajili ya kufanya video. Major Lazer linaundwa na members watatu, Diplo, Jillionaire, na Walshy Fire. 

Ilianzishwa na Diplo na Switch, lakini Switch alijiondoa mwaka 2011.
 
Lakini ni Diplo ndiye mwenye jina kubwa zaidi kwenye kundi hilo na ameshiriki kutengeneza hits za wasanii wengi wakubwa. Kwenye album ya Beyonce, Lemonade, Diplo ametayarisha nyimbo mbili, Hold Up na All Night.

0 comments:

Post a Comment