Pages

Subscribe:

Wednesday, November 15, 2017

WIZKID KUACHIA NGOMA MPYA SIKU YA LEO

Msanii “Wizkid” ambaye ni mshindi wa AFRIMA 2017 ametangaza hali ya hatari kwa mashabiki zake. Hii ni baada ya kutweet kupitia ukurasa wake wa twitter na kuwatangazia mashabiki zake kuwa Leo anaachia ngoma yake mpya inayoitwa... “MANYA”

0 comments:

Post a Comment